Rais Dk Samia azindua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia azindua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe
Sehemu ya wananchi wa Mwanga pamoja na maeneo jirani wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe 09 Machi, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro mara baada ya kuzindua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe, tarehe 09 Machi, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuashiria ufunguzi wa mradi wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe mara baada ya kuhutubia wananchi wa wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe 09 Machi, 2025.