Rais Dk Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 29 Aprili, 2025.