Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Misri, Mhe. Badr Abdelatty ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri (Minister of Foreign Affairs, Emigration and Egyptian Expatriates of the Arab Republic of Egypt), tarehe 20 Machi, 2025 Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar.