Rais Dk Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Kongo
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Kongo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi hiyo Mhe. Thérèse Kayikwamba Wagner, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Machi, 2025.