Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea cheti cha umiliki wa Hisa zake kwenye Benki ya Ushirika Tanzania katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.