Rais Dk Samia akimkabidhi mwakilishi wa familia ya Katibu Mkuu Hayati Balozi Mhandisi Kijazi
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia akimkabidhi mwakilishi wa familia ya Katibu Mkuu Hayati Balozi Mhandisi Kijazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mwakilishi wa Familia ya Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali ya Awamu ya Tano Hayati Balozi Mhandisi John William Kijazi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Aprili, 2025.