Rais Dk Samia ahutubia viongozi baada ya toleo la Sheria za Tanzania zilizofanyiwa urekebu la mwaka 2023
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia ahutubia viongozi baada ya toleo la Sheria za Tanzania zilizofanyiwa urekebu la mwaka 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali mara baada ya toleo la Sheria za Tanzania zilizofanyiwa urekebu la mwaka 2023, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 23 Aprili, 2025.