Rais Dk Samia afanya mazungumzo na Rais wa Msumbiji
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia afanya mazungumzo na Rais wa Msumbiji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika kwenye ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 15 Februari, 2025.