Rais Dk Mwinyi ahutubia Baraza la Eid El Fitr Zanzibar
JamhuriComments Off on Rais Dk Mwinyi ahutubia Baraza la Eid El Fitr Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumika na Viongozi wa meza kuu, wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaab, baada ya kumalizika Baraza la Eid Al Fitry lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Polisi Bomani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 31-3-2025.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.,Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid Al Fitry lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Polisi Bomani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 31-3-2025.(Picha na Ikulu)MAKATIBU Wakuu wa SMZ wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Al Fitry wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika ukumbi wa Chuo cha Polisi Bomani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 31-3-2025.(Picha na Ikulu)VIONGOZI wa meza kuu wakiwa katika ukumbi wa Chuo cha Polisi Bomani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati wa hafla ya Baraza la Eid Al Fitry lililofanyika katika ukumbi huo leo 31-3-2025.(Picha na Ikulu)