Rais awasili nchini akitokea Rwanda kwenye uapisho wa Rais
JamhuriComments Off on Rais awasili nchini akitokea Rwanda kwenye uapisho wa Rais
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo tarehe 11 Agosti, 2024 akitokea nchini Rwanda.