Rais aongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu CCM Taifa
JamhuriComments Off on Rais aongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu CCM Taifa
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 5 Desemba, 2022.