Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
October 14, 2022
Kitaifa
Rais ahudhuria Misa Takatifu ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere
Jamhuri
Comments Off
on Rais ahudhuria Misa Takatifu ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais Mhe. Philip Isdor Mpango, Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Bukoba Methodius Kilaini, Mapadri pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya Misa Takatifu ya Kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Kuu Katoliki, Jimbo la Bukoba Mkoani Kagera tarehe 14 Oktoba, 2
022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni Ofisini kwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Bukoba Methodius Kilaini mara baada ya Misa Takatifu ya Kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Kuu Katoliki, Jimbo la Bukoba Mkoani Kagera tarehe 14 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Philip Isdor Mpango, viongozi wengine wa Chama, Serikali, pamoja na Waumini wa Kanisa hilo wakiwa kwenye Misa Takatifu ya Kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Kuu Katoliki, Jimbo la Bukoba Mkoani Kagera tarehe 14 Oktoba, 2022.
Post Views:
134
Previous Post
Serengeti girls waendelea kujifua kuikabili Ufaransa
Next Post
'Tumuenzi hayati Nyerere kwa kupinga rushwa'
Trump aendelea kutishia kudhibiti Greenland na rasi ya Panama
Mwili wa aliyekuwa Rais wa Marekani Jimmy Carter kuagwa Januari 9
Umoja wa Ulaya waituhumu Urusi kutumia gesi kama silaha
Urusi, Ukraine zaendelea kukabiliana vikali Kursk
Naibu Waziri Kundo aongoza kikao kazi na watumishi sekta ya maji Pwani
Habari mpya
Trump aendelea kutishia kudhibiti Greenland na rasi ya Panama
Mwili wa aliyekuwa Rais wa Marekani Jimmy Carter kuagwa Januari 9
Umoja wa Ulaya waituhumu Urusi kutumia gesi kama silaha
Urusi, Ukraine zaendelea kukabiliana vikali Kursk
Naibu Waziri Kundo aongoza kikao kazi na watumishi sekta ya maji Pwani
Juma Burhan: Mifumo ya kidijitali itaongeza uwazi, uwajibikaji
Marekani yaishutumu Urusi kwa kufadhili vita Sudan
Dk Nchemba afungua mafunzo ya Kamati ya PAC
Tanzania kushirikiana na Italia kuendeleza sekta ya madini
Idadi ya watu waliofariki tetemeko la ardhi Tibet yafikia 95
MSD yapongezwa kwa maboresho ya huduma mkoani Kagera
Rais Samia azindua hoteli ya kitalii iliyopo katika Kisiwa cha Bawe Zanzibar
Ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu, vyama andaeni sera
Mrithi wa Kinana kupatikana Januari 19
Taasisi zilizosajiliwa RITA zatakiwa kuwasilisha marejesho ya mwaka