Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
November 24, 2024
MCHANGANYIKO
Rai Dkt. Samia atunukiwa shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi
Jamhuri
Comments Off
on Rai Dkt. Samia atunukiwa shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye maandamano pamoja na viongozi wengine wakati wakielekea kwenye eneo la Maekani, Kampasi Kuu Morogoro kwa ajili ya sherehe za Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro tarehe 24 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi ya Chuo Kikuu Mzumbe na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro yaliyofanyika katika eneo la Maekani, Kampasi Kuu Morogoro tarehe 24 Novemba, 2024. Shahada hiyo ni ya kwanza katika ngazi hiyo ya Uongozi kutolewa na Chuo hicho tangu kuanzishwa kwake
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunukiwa shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi kwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro.
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunukiwa shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi kwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro yaliyofanyika katika eneo la Maekani, Kampasi Kuu Morogoro tarehe 24 Novemba, 2024.
Post Views:
151
Previous Post
Uandikishaji ada za bima wafikia asilimia 7.4 sawa na tilion 1.24 mwaka 2023
Next Post
Gachagua: Ruto sasa tunakujua wewe ni mtu wa aina gani
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
Habari mpya
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia