Na Stella Aron, JamhuriMedia ,Dar es Salaam

Jumla ya Taassi za ununuzi 21,851 zimesajiliwa na zinatumia mfumo wa kielektroniki wa Ununuzi wa Umma (NeST) ambapo bajeti ya ununuzi ya zaidi ya shilingi trilioni 38.6 imewekwa kwenye mfumo wa NeST kama fursa ya wazi kwa ajili ya wazabuni.

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Umma (PPRA), Dennis Simba leo Novemba 4, 2024 wakati akizungumza na wahariri na waandishi wa habari katika kikao kazi chini ya uratibu wa Ofisi ya Msajii wa Hazina (TR) jijini Dar es Salaam.

Amesema PPRA ambayo ipo chini ya Wizara ya Feda pia inasimaiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa mujibu wa Sheria ya Msajili wa Hazina  Na. 370 na marekebisho ytake na sheria zingine zinazoongoza Ofisi ya Msajili wa Hazina, ana mamlaka ya kusimamia shughuli; ztoe, rasilimali zote za mashirka yua Umma.

Amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2023/2024 imeokoa jumla ya shingi bilioni 14.94 kupitia ukaguzi na silingi trilioni 2.7 kuptia ufuatiliaji.

Amesema kuwa bajeti ya ununuzi ya zaidi ya shilingi trilioni 38.6 imewekwa kwenye mfumo wa NeST kama fursa ya wazi kwaajili ya wabuni.

“Na ununuzi wa umma ni shughui uimu ya kiucumi inayihysisha seeu kubwa ya ati loa Tafa (GDP) takribani asilimia 70 ya bajeti ya Serikali na taasisi zake hutumika kwenye ununuzi wa umma, ivyo ununuzi wa umma nchini unasiamiwa na sheria ya ununuzi wa umma Sura 410.

“Chini ya sheria hii zimeundwa Kanuni za Ununuzi wa Umma, 2024 na Miongzi kwa ajili ya kuweka taratibu za ununuzi wa umma.Kanuni mpya a Ununuzi wa Umma zimekwishakamilika.

Pia amesema kuwa mamlaka hiyo imewezesha ushiriki wa makundi maalum katika ununuzi wa umma na kuboresha mazingra ya utoaji huduma kwa wananchi kwa kuanzisha kanda sita katika mikoa ya Mwanza, Arusha, Mbeya, Tabora, Mtwara na Dar es Salaam.

“Tumekamiliha ujenzi wa jeng la ofisi ya Makao Mkuu ya PPRA na kuhamia rasmi tangu Machi 2024 na hivyo kuokoa pesa ambayo ingetilewa kama kodi yua pango”ameongeza.

Amesema kuwa katka kuwaingezea nguvu wazabuni wa ndani, sheria mpya ya ununuzi wa umma imeweka fursa ya wazabuni wa ndani kushiriiana na wazabuni wa nje na katika ushiriki huo, kampuni ya ndani ndiyo itakayokuwa kampuni kiongozi na fedha zitalipwa kwa kampuni ya ndani.

Amesema kuwa zabuni zenye tamani isiyzidi shilingi bilioni 50 zimetengwa kwa ajili ya wazabuni wa ndani ya nchi pekee.Mfumo wa NeST unaisaidia PPRA katika kusimamia suala hilo kwa ufanisi zaidi” alisema.

Aliongeza kuwa Sheria ya Unuuzi wa Umma Sura 410, inazitaka taasisi za Serikali kutenga asilimia 30 ya bajeti ya ununuzi kwa ajili ya makundi maalum ambayo ni vjana, wanawake, wazee na watu wenye ulemavu ambapo mfumo wa NeST kama nyenzo umesaidia utekelezaji wake.

Amesema tangu mfumo wa NeST ulipanza kutumika Julai 1, 2023 Oktoba 8, 2024, jumla ya vikundi 210 (makundu maalumu- vilifanikiwa kupata tuzo za zabuni zenye juma ya taman i ya zaidi ya shilingi bilioni 9.855.

“Mwaka wa fedha uliopita, yaani Julai 1, 2023 hadi Juni 30, 2024 kwa ujumla vikundi 85 vya viana vilipata zabuni zenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni tatu na milioni mia tisa” amesema.