JamhuriComments Off on Picha za matukio ya Waziri Mkuu akiwa bungeni
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete, Bungeni jijini DodomaWaziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Sumve, Kasalali Mageni , Bungeni jijini Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu na Bunge, George Simbachawene akizungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara Ashatu Kijaji , Bungeni jijini Dodoma. Februari 1 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)