Latest Posts
NMB yavunja rekodi ya ufanisi kwa matokeo ya kihistoria mwaka 2024
Matokeo haya mazuri ya kifedha yamechagizwa na utekelezaji makinii wa mkakati wa benki na uwekezaji endelevu katika kutumia uwezo wa teknolojia za kidijitali: Benki ya NMB iliendeleza kasi ya ukuaji, ikipata matokeo ya kipekee ya kifedha na kiutendaji, yaliyochochewa na…
Serikali yachukua hatua kulinda mazingira ya bahari
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Yusuf Masauni amesema Serikali ya Tanzania imechukua hatua za kuimarisha maeneo ya bahari yaliyohifadhiwa. Amesema hatua hizo zimesaidia kukuza usimamizi endelevu wa uvuvi na kuongeza uwezo wa kuzuia…
Shambulio la droni la Urusi laua tisa mashariki mwa Ukraine
Shambulizi la droni la Urusi lililolenga jumba la makazi katika mji wa Sumy, mashariki mwa Ukraine, limesababisha vifo vya watu tisa. Rais Volodymyr Zelensky amelielezea shambulizi hilo kama janga kubwa la uhalifu wa Urusi, akisisitiza umuhimu wa dunia kuongeza shinikizo…
Ebola yathibitishwa Uganda, muuguzi afariki Kampala
Muunguzi mwenye umri wa miaka 32 alifariki katika mji mkuu wa Uganda, Kampala, kutokana na ugonjwa wa Ebola, Wizara ya Afya ya nchi hiyo ilithibitisha siku ya Alhamisi Wizara ya Afya ya Uganda imethibitisha Alhamisi mlipuko wa ugonjwa wa Virusi vya…
Kiongozi wa M23 : Hatuondoki Goma, tunaitaka Kinshasa
Kiongozi wa kisiasa wa kundi la waasi la M23 Corneille Nangaa ameapa kuwa wapiganaji wake hawatauachia mji wa Gomana kudokeza kuhusu azma ya kusonga mbele hadi mji mkuu Kinshasa. Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi. Waasi wanaoungwa mkono na Rwanda ambao…
Kisanduku cheusi cha ndege iliyoanguka Washington DC chapatikana
Maafisa wamepata kifaa cha kurekodi data na kinasa sauti cha ndege, kinachojulikana kama kisanduku cheusi, kutoka kwa ndege ya American Airlines, chanzo kilithibitishwa na mshirika wa BBC wa Marekani CBS News. Kisanduku cheusi kinaweza kusaidia kutoa vidokezo kuhusu kile ambacho…