JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ebola yathibitishwa Uganda, muuguzi afariki Kampala

Muunguzi mwenye umri wa miaka 32 alifariki katika mji mkuu wa Uganda, Kampala, kutokana na ugonjwa wa Ebola, Wizara ya Afya ya nchi hiyo ilithibitisha siku ya Alhamisi Wizara ya Afya ya Uganda imethibitisha Alhamisi mlipuko wa ugonjwa wa Virusi vya…

Kiongozi wa M23 : Hatuondoki Goma, tunaitaka Kinshasa

Kiongozi wa kisiasa wa kundi la waasi la M23 Corneille Nangaa ameapa kuwa wapiganaji wake hawatauachia mji wa Gomana kudokeza kuhusu azma ya kusonga mbele hadi mji mkuu Kinshasa. Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi. Waasi wanaoungwa mkono na Rwanda ambao…

Kisanduku cheusi cha ndege iliyoanguka Washington DC chapatikana

Maafisa wamepata kifaa cha kurekodi data na kinasa sauti cha ndege, kinachojulikana kama kisanduku cheusi, kutoka kwa ndege ya American Airlines, chanzo kilithibitishwa na mshirika wa BBC wa Marekani CBS News. Kisanduku cheusi kinaweza kusaidia kutoa vidokezo kuhusu kile ambacho…

Biashara saa 24 kuanza Februari 22

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema uzinduzi rasmi wa biashara kwa saa 24 utafanyika Februari 22, 2025 na utaanzia eneo la Ofisini za Mkuu wa Mkoa hadi Kariakoo kuwa…

Wawili wafariki kwa mvua Moro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Watu wawili wanaume wamefariki dunia kwa nyakati tofauti kutokana na athari za maji yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Morogoro. Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Alex Mkama amethibitisha Janauri…