JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ushiriki wa Rais Samia G20 wainufaisha Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Rio de Janeiro, Brazil Ushiriki wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa G20 uliofanyika hapa Rio de Janeiro, Brazil na kuhusisha nchi tajiri 19 duniani, Umoja wa Ulaya (EU) na Umoja wa Afrika (AU), umekuwa wa…

TPA kuwapunguzia gharama za uhifadhi mizigo wahanga janga la ghorofa Kariakoo

Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) itawapunguzia gharama za uhifadhi (storage fee) mizigo wahanga wa jengo la ghorofa liloporomoka katika soko Kariakoo, Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Novemba, 2024. Kaimu Mkurugenzi wa Bandari…

Vijana watakiwa kuchangamkia fursa sekta ya nishati

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Vijana wametakiwa kuchangamkia fursa zinazopatikana katika sekta ya nishati hapa nchini kwa kuwa sekta hiyo ina wigo mpana katika kuzalisha ajira kwa vijana sambamba na kutoa mchango mkubwa katika kukuza pato la Taifa. Akiongea wakati…

Michezo ya kamali marufuku Nigeria

Maafisa wa polisi wanaosimamia nidhamu katika dini ya Kiislamu kaskazini mwa Nigeria wanasema wataendeleza sera yao ya kufunga maduka yote ya kucheza kamari baada ya uamuzi wa mahakama kuhusu mchezi huo. Mahakama ya juu zaidi Ijumaa ilitupilia mbali sheria ya…

Chato msifanye makosa kuchagua vyama vingine – Dk Biteko

📌 Rais Samia Avunja Rekodi Miradi ya Maendeleo Chato 📌 Asema CCM Itabeba Vyote 📌 Kalemani Ataja Mabilioni ya Miradi Chato 📌 Asema CCM Inatekeleza Ahadi Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye…