JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Watu 54 wauwawa baada ya RSF kushambulia soko Sudan

Watu 54 wameuwawa wakiwa sokoni mjini Omdurman baada ya shambulio lililofanywa na wanamgambo wa RSF siku ya Jumamosi. Kulingana na wahudumu wa afya ambao wameomba kutokutajwa majina kwa sababu za kiusalama, majeruhi wa tukio hilo bado walikuwa wakiendelea kufikishwa katika…

Mwanafunzi aliyejinyonga kwa mtandio azikwa

Mwili wa mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Simiyu, Latifa Juma ,17, aliyepoteza maisha kwa kujinyonga kwa kutumia mtandio chumbani kwake umezikwa leo. Tukio hilo limetokea Februari 30, 2025 na kugundulika na mama yake mzazi majira ya…

Majaliwa: Tanzania imejipanga maandalizi CHAN, AFCON

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imejipanga vyema kukamilisha maandalizi yote muhimu ikiwemo miundombinu kwa ajili ya Fainali za Ubingwa wa Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) na Kombe la Mataifa ya Afrika(AFCON). “Tanzania imejipanga vizuri, kuhakikisha kuwa michuano hii…

Serikali kupitia upya maslahi ya kada ya ualimu nchini

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua mfumo mpya wa Sera ya elimu huku akiweka msisitizo wa Serikali kupitia upya maslahi ya kada ya ualimu nchini. Amesema dhamira ya mabadiliko ya…

Uandikishaji daftari la kudumu la wapiga kura Pwani, Tanga kufanyika Februari 13-19

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imeanza maandalizi ya mzunguko wa 11 kati ya mizunguko 13 ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Pwani na Tanga ambayo zoezi la uboreshaji…