JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Uwanja wa AFCON Arusha wafikia asilimia 25

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya mashindano ya Fainali za AFCON 2027 umefikia asilimia 25 za…

Rais Samia ataka Majaji kutokuwa Miungu watu na badala yake watoe haki bila upendeleo

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK.Samia suluhu Hassan, amesema Utekekezaji wa Dira ya Mwaka 2020/2025 ina mabadiliko makubwa ikiwemo katika Sekta ya utoaji haki ambapo jumla ya Mashauri 271 yalisajiliwa kupitia mtandao huku mashahidi waliopo…

Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho ya miaka 48 ya CCM

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA.Amos Makallaamesema Chama Cha Mapinduzi (CCM)kikiwa kinatarajia kuadhimisha miaka 48 tangu kuanzishwa kwake kinatarajia kuwatambulisha Rasmi wagombea wake kwa wanachama katika nafasi ya ngazi ya Urais na…

Serikali kufanya jitihada za kudhibiti madhara ya mmonyoko na kupanuka kwa kingo za mito

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Serikali inaendelea kufanya jitihada mbalimbali za kudhibiti madhara ya mmomonyoko na kupanuka kwa kingo za mito. Khamis amesema hayo wakati…