JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Samia awapa stars milioni 700

Na Isri Mohamed Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwapa zawadi ya Tsh. milioni 700 Taifa Stars baada ya kufuzu AFCON 2025 ambayo michezo yake itachezwa nchini Morocco. Taarifa ya Rais Samia kutoa fedha hizo imetolewa na Waziri mwenye dhamana ya…

Makonda ataka mahubiri ya amani

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaomba viongozi wa dini kuhubiri amani na utulivu ikiwemo wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu tunapoelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotaraji kufanyika Novemba 27 mwaka huu nchi mzima. Aidha amewaomba viongozi wa…

Tanzania yanufaika na miradi ya mazingira

Tanzania inatarajia kunufaika na Dola za Marekani milioni 13 kwa ajili ya kuongeza wigo wa utekelezaji wa miradi ya kijamii kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Halmashauri 15 zaidi kupitia Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Mitaji na Maendeleo (UNCDF). Hayo yamebainika…

Tuzingatie viwango katika biashara zetu kukuza soko zaidoli – Dk Jafo

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Selemani Jafo (Mb) ametoa rai kwa Wazalishaji wa bidhaa Nchini kuweka kipaumbele suala la ubora wa bidhaa kwani ndio ajenda muhimu kwa kutengeneza uchumi wa nchi. Ameyasema hayo katika Maadhimisho ya Siku ya Ubora…

REA kushirikiana na Njombe kusambaza mitungi ya gesi zaidi ya 13,000

📌Kila wilaya kusambaziwa mitungi ya gesi 3,255 📌Elimu ya nishati safi kuendelea kutolewa 📍Njombe Mkoa wa Njombe umeahidi kushirikiana na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia13,020 ili wananchi watumie nishati safi na salama. Hayo…

Kuanzia Januari 2025, vivuko vitakuwa vinasubiria abiria – Bashungwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa kushirikiana Kampuni ya Azam Marine zinaendelea kuboresha utoaji wa huduma za usafiri wa vivuko katika eneo la…