JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Timu ya wanasheria wa Samia yatoa elimu ya kisheria Mpanda

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mpanda Timu ya Wataalam ya kampeni ya msaada wa kisheria wa mama Samia Legal Aid (MSLAC) ikiongozwa na Salome Mwakalonge ambaye ni Mratibu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria imeendelea kutoa elimu ya kisheria kwa Wananchi…

M23 watangaza kusitisha mapigano kupisha misaada ya kiutu

WAASI wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda wametangaza usitishaji wa mapigano kuanzia Jumanne huko mashariki mwa Kongo kwasababu za kiutu. Haya yanafuatia miito ya njia salama ya misaada kutolewa kwa maelfu ya watu walioachwa bila makao. Tangazo hilo la…

NEMC yasajili miradi ya maendeleo 105 Kanda ya Kati

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma BARAZA la Taifa la Hifadhi ya Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Kanda ya Kati imefanikiwa kusajili miradi ya maendeleo 105 na kuipa cheti cha tathmini ya athari kwa mazingira (EIA) katika kipindi cha kuanzia Julai hadi…

Wafanyabiashara 774 kati ya 1,520 warejeshwa soko la Kariakoo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wafanyabiashara 774 kati ya 1,520 waliotambuliwa kuwa na sifa za kurejeshwa katika soko la Kariakoo wamejitokeza kuchukua fomu maalum za usajili kwa ajili ya maandalizi ya kuingia kwenye soko hilo kufuatia tangazo la…

Wassira atembelea kaburi la baba wa Taifa

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira ametembelea kaburi la Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Butiama, leo Februari 3, 2025 akiwa ziarani mkoani Mara ambapo pia amezungumza na wazee wa Butiama.

Mahakama ya Afrika yasema ni wakati wa Bara la Afrika kudai fidia

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Rais wa Jamhuri ya Cape Verde, José Maria Neves, amesema nchi za Afrika zinaweza kuongoza mabadiliko ya maisha yao ya baadaye kwa kuondokana na utegemezi wa ukoloni mamboleo kwa kudai fidia iliyotokana na dhuluma za…