JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kumkamata Netanyau haitoshi lazima apate adhabu ya kifo – Iran

Ayatollah Ali Khamenei, Kiongozi wa Iran katika hotuba yake katika kikao na “Wanajeshi wa nchi nzima” alisema “Waranti ya kukamatwa kwa Netanyahu kwa uhalifu wa kivita haitoshi, ni lazima hukumu yake ya kifo itolewe.” Pia alisema: “Adui hajashinda huko Gaza…

Kesi ya Donald Trump yatupiliwa mbali na jaji wa mahakama

Huku hatua ya mwanasheria Jack Smith ya kufuta mashtaka ya kuingilia uchaguzi wa 2020 dhidi ya Donald Trump, moja ya vitisho vya mwisho vya kisheria vilivyosalia dhidi ya rais mteule imegeuka kuwa majivu na kupeperushwa na upepo. Smith pia anatupilia…

Tanzania kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi, kukuza utalii

Tanzania inatarajia kuungana na nchi zaidi ya 50 duniani katika kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi, yanayochangia uharibifu wa mazingira kwa ujumla na wakati huo ikiendelea kukuza utalii. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania Bw….

Polisi yawasaka waliomshambulia mtoto na kumjeruhi Monduli

Naomba Mwandishi Jeshi Polisi Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawatafuta watuhumiwa waliohusika katika tukio la kumshambulia na kumjeruhi mtoto wa kike (16) (jina limehifadhiwa) mkazi wa kijiji cha Nadaale, wilaya ya Longido Mkoani Arusha. Akitoa taarifa hiyo leo…

Waandishi wa habari Manyara, UTPC waandamana uzinduzi Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili

Waandishi wa habari wa Mkoa wa Manyara na wafanyakazi wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) wameongoza maandamano ya uzinduzi wa kampeni maalum ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto kupitia vyombo…