JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Taasisi za haki jinai na madai zinahitaji mabadiliko na mageuzi makubwa – Jaji Mugeta

Na Happy Lazaro, JamhuriMesia, Arusha Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha Ilvin Mugeta amesema kuwa taasisi za haki jinai na madai zinahitaji mabadiliko na mageuzi makubwa katika utekelezaji wa majukumu yao Ili kurudi katika misingi ya…

Rais Samia : Dunia imetambua jitihada za Tanzania katika sekta ya afya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award inathibitisha kuwa dunia imetambua…

Utendaji kazi kituo cha huduma kwa wateja TANESCO wamkwaza – Dk Biteko

๐Ÿ“Œ Amuagiza Mkurugenzi Mtendaji TANESCO kumchukulia hatua mtaalam aliyemfokea mteja ๐Ÿ“Œ Ataka Mpango Mahsusi wa Nishati uliosainiwa katika Mkutano wa Mission 300 kupewa kipaumbele ๐Ÿ“Œ PURA, REA, EWURA zang’ara tathmini ya utendaji kazi Taasisi chini ya Wizara ya Nishati Naibu…