Latest Posts
Mtukufu Aga Khan IV afariki dunia, urithi wake utadumu milele
Dunia imepata pigo kubwa kufuatia taarifa za kifo cha Mtukufu Aga Khan IV, Karim Al-Hussaini, aliyefariki Februari 4, 2025, jijini Lisbon, Ureno, akiwa na umri wa miaka 88. Aga Khan IV alikuwa kiongozi wa 49 wa madhehebu ya Shia Ismailia,…
CAG Kichere aipa heko TANROADS ujenzi uwanja wa ndege Msalato
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Charles Kichere amepongeza kasi ya ujenzi wa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato wenye ukubwa wa hekta 4,500 ( hekari 11000). CAG Kichere ametoa…
Mvua yapoteza miundombinu Chuo cha Sauti Mtwara
Na Mwandishi Wetu, Mtwara Kufuatia mvua kubwa iliyonyesha Februari 3,2025 imesababisha maafa kwa baadhi ya maeneo ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara hususani kwa wanafunzi wa Chuo cha Sauti na Utumishi. Maafa hayo yametokea mtaa Kiyangu ‘B’ ambako wanafunzi…
Trump apendekeza Marekani ichukue udhibiti wa Ukanda wa Gaza
Rais wa Marekani, Donald Trump, na Waziri Mkuu wa Israel, Netanyahu, wamefanya mkutano wa waandishi wa habari ambapo Trump ametoa pendekezo kwamba Marekani “ichukue udhibiti” wa Gaza, na kuwahamisha watu milioni 1.8 wa Gaza kwenda nchi nyingine za Kiarabu. Trump…
Mahakama ya Afrika yajadili masuala ya jinsia katika utoaji wa fidia
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia l, Arusha Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) leo imeendesha semina juu ya ujumuishaji wa masuala ya jinsia katika utoaji wa fidia huku kundi la wanawake likitajwa kuathiriwa zaidi na ukiukaji wa…
Waziri Silaa aiagiza bodi UCSAF kusimamia ujenzi wa minara 758 ya mawasiliano vijijini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa (Mb), ameiagiza Bodi mpya ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kuhakikisha inasimamia kwa ukaribu utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa minara 758 ya mawasiliano vijijini….