Latest Posts
LHRC yashinda kesi dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia Arusha Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu leo imetoa hukumu ya mashauri saba yaliyowasilishwa mahakamani hapo kwa nyakati tofauti mojawapo likiwa shauri kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) pamoja na…
TMA,EMEDO waongeza nguvu usambazaji taarifa za hali ya hewa ziwa Victoria
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Katika kuendelea kuboresha usambazaji wa taarifa za hali ya hewa kwa jamii, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetembelewa na Wataalamu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Uhifadhi wa Mazingira na Maendeleo ya Kiuchumi…
Rais Samia aongoza Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM, akisisitiza maendeleo na uongozi bora
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza maadhimisho ya miaka 48 ya kuzaliwa kwa chama hicho, yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Aidha…
Samia, Mwinyi watuma salamu za rambirambi kifo cha Aga Khan IV
Rais Dk Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi wametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha kiongozi wa kiroho wa madhehebu ya Ismailia duniani na mwanzilishi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan. Rais Samia amesema…
DRC: Tangazo la M23 la usitishaji vita sio la kuaminika
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeelezea hatua ya kusitishwa mapigano iliyotangazwa na waasi wa M23 mashariki mwa nchi hiyo kama “mawasiliano ya uongo.” Kulingana na msemaji wa serikali ya Kongo Patrick Muyaya, wanachosubiri kwa sasa ni kuondoka nchini…
Shirika la Posta la Marekani lasimamisha usafirishaji mizigo ya China
Shirika la Posta la Marekani limesema limeacha kupokea mizigo kutoka China bara na Hong Kong kwa muda usiojulikana. Huduma ya barua haitaathiriwa na usitishaji huo, ilisema shirika hilo, ambalo lilikataa kutoa sababu ya uamuzi huo. Hata hivyo, mnamo Jumanne sheria…