JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

WHI yatunukiwa tuzo ya nyumba za gharama nafuu zaidi Afrika

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WATUMISHI Housing Investment (WHI) imetunukiwa tuzo ya ‘Nyumba za gharama nafuu zaidi Afrika’ iliyotolewa na Taasisi ya Mikopo ya Nyumba Afrika inayotambuliwa na Umoja wa Afrika. Tuzo hiyo imetolewa katika mkutano Mkuu wa…

NEEC yadhamiria kuwainua kiuchumi wananchi kwa kutoa elimu ya kutambua fursa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limesema hadi sasa watu 90,000 wamesajiliwa kwenye Kazidata ya Programu Maalum ya Imarisha Uchumi na Mama Samia (IMASA) yenye lengo la kuinua uchumi wa Watanzania…

Setilaiti iliyotengenezwa na Boeing yavunjika angani

Setilaiti ya mawasiliano iliyotengenezwa na kampuni kubwa ya vyombo vya angani ya Boeing imevunjika kwenye uzingo. Mwendeshaji satelaiti, Intelsat, amethibitisha “hasara ya jumla” ya iS-33e, ambayo imeathiri wateja katika maeneo ya Ulaya, Afrika na sehemu za eneo la Asia-Pasifiki. Intelsat…

Geita yaupokea mradi wa bilioni 17 kusambaza umeme kwenye vitongoji 105

βœ…βœ³οΈWateja 3,465 watanufaika na Mradi huo Mkuu wa mkoa wa Geita, Mhe. Martine Shigela, leo jioni, tarehe 22 Oktoba, 2024 amempokea rasmi, mkandarasi, kampuni ya CCC (Beijing) Industrial and Commercial Ltd; kampuni kutoka China, iliyoshinda kandarasi ya Mradi wa Kusambaza…

Kongamano la ARGe0-C10 kuongeza kasi uendelezaji jotoardhi Afrika Dk Mataragio

πŸ“Œ Asema hazina ya Jotoardhi bado haijatumika ipasavyo Afrika πŸ“Œ Aeleza juhudi za Tanzania kuendeleza vyanzo vya Jotoardhi πŸ“Œ Ahitimisha Mafunzo ya Jotoardhi kwa Washiriki Kongamano la ARGeo-C10 πŸ“Œ Wahitimu wataja falsafa ya ujamaa kuendeleza Jotoardhi Naibu Katibu Mkuu wa…

Urusi yafanya mashambulizi usiku kucha mjini Kyiv Ukraine

Jeshi la Ukraine limesema kuwa kitengo chake cha ulinzi wa anga kimedungua droni 59 kati ya 116 zilizorushwa na Urusi usiku kucha. Jeshi hilo limeongeza kuwa lilipoteza mwelekeo wa droni 45 ambazo huenda zilianguka katika eneo lake. Jeshi hilo pia…