Latest Posts
SADC-EAC yataka M23 na wahusika wengine kuwa sehemu ya mazungumzo
Mkutano wa pamoja wa EAC-SADC kuhusu mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umeitaka M23 na makundi mengine yasiyo ya kiserikali kujumuishwa katika mazungumzo na majadiliano yanayoendelea kwa lengo la kutatua mgogoro wa mashariki mwa Congo. Mkutano huo pia umesisitiza…
Serikali yapokea mapendekezo NEMC kuwa mamlaka
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yusuf Masauni amesema Serikali imeyapokea na inaendelea kuyafanyia kazi mapendekezo matatu ya marekebisho ya Sheria ya Mazingira sura 191. Miongoni mwa mapendekezo…
Serikali kutatua changamoto ya usawa wa kijinsia katika elimu
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma. Serikali imesema takwimu Duniani zinaonesha kuwa ushiriki wa wanawake na wasichana katika elimu na ajira kwa fani za sayansi ni mdogo ikilinganishwa na ushiriki wa wanaume katika fani hiyo. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia,…
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Meru lapitisha bajeti ya mwaka 2025/26
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Baraza la madiwani Halmashauri y Wilaya ya Meru mkoani Arusha limeridhia na kupitisha bajeti ya zaidi ya shs 60 bilioni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa mwaka 2025/2026. Akipitisha bajeti hiyo…