Latest Posts
Aukana uraia wa Ufaransa ili kugombea urais Ivory Coast
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Credit Suisse, Tidjane Thiam, ameukana uraia wake wa Ufaransa ili kutimiza masharti ya kugombea urais wa Ivory Coast katika uchaguzi wa Oktoba mwaka huu. Thiam, 62, ambaye alichaguliwa kuwa kiongozi wa chama cha upinzani PDCI…
Watu 50 wauawa katika shambulio la kuvizia Mali
Zaidi ya watu 50 wameuawa karibu na mji wa kaskazini-mashariki mwa Mali wa Gao siku ya Ijumaa baada ya washambuliaji waliokuwa na silaha kuvizia msafara uliokuwa ukilindwa na jeshi lake, amesema afisa wa eneo hilo na wakaazi. Shambulio hilo lilitokea…
Rais wa kwanza wa Namibia afariki akiwa na umri wa miaka 95
Rais wa kwanza wa Namibia huru, Sam Nujoma, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95 katika mji mkuu wa Windhoek, kiongozi wa sasa wa nchi hiyo ametangaza. Nujoma aliongoza vita vya muda mrefu vya kudai uhuru kutoka kwa Afrika…
Ni sahihi msimamo wa wabunge kutaka NECM kuwa NEMA
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Katika dunia inayoendelea kwa kasi kwa kila nyanja, kuna kila sababu kwa Tanzania kuwa na chombo madhubuti cha kusimamia mazingira. Ni jambo lisilokuwa na ubishi kuwa kwa hali ya sasa na hata hapo baadae, Baraza…
Watu 30 hawajulikani walipo baada ya maporomoko ya ardhi China
Takribani watu 30 wametangazwa kuwa hawajulikani walipo baada ya maporomoko ya ardhi katika kijiji cha Jinping kilichopo kusini-magharibi mwa China, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali ya China. Maporomoko hayo ya ardhi yalitokea katika kijiji cha Jinping kilichopo…