Latest Posts
Waziri Mkuu akutana na Balozi wa Belarus nchini
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 24. 2024 amekutana na Balozi wa Belarus nchini Tanzania Pavel Vziatkin, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam. Katika mazungumzo hayo, Mheshimiwa Majaliwa amemweleza Balozi Pavel kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na Belarus…
Dk Ndumbaro : Tamasha la 44 mwakani lifanyike kwa siku saba ili kukuza uchumi
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Bagamoyo WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amesema amepokea ombi la kuongeza siku za kufanyika Tamasha kutoka Nne mwaka huu na kuwa siku Saba kwa mwaka 2025. Dkt. Ndumbaro Amesema hayo wakati akizindua…
Ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam waileta kampuni ya ‘Volkswagen’ nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Dar es Salaam KAMPUNI ya kutengeneza magari ya Volkswagen ya Ujerumani imeonesha nia ya kuitumia Bandari ya Dar es Salaam kusafirisha magari na vipuri baada ya kuitembelea bandari hiyo na kueleza kuridhishwa kwake na ufanisi kufuatia…
Wanawake wajasiriamali Dar wafurahia elimu ya bure CBE
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amekipongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kwa kuanza kuwapa mafunzo ya bure ya ujasiriamali wanawake wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam. Ameyasema…
Viongozi wapya wa Chuo Kikuu cha Umoja wa Afrika Tanzania wasimikwa
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO Kikuu cha Umoja wa Afrika Tanzania (UAUT) kimepata viongozi wapya, watakao kiongoza chuo hicho baada ya mwekezaji wa kwanza kushindwa. Walioteuliwa kuongoza chuo hicho ni Mkuu wa Chuo, Dkt. Kyung Chul Kam,…
Mataifa 22 yashiriki maonesho ya mafuta na gesi
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni za kimataifa kutoka mataifa zaidi ya 22 mduniani zimeshiriki katika maonyesho ya mafuta na gesi. Maonyesho hayo yanafanyika kwa mara ya 25 yakihusisha makampuni yanayojishughulisha na masuala ya nishati ya gesi na…