Latest Posts
Polisi Mwanza wawaokoa watoto wawili waliotekwa, watekaji wauawa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Watu wawili wasiofahamika majina yao wamefariki wakati wa majibizano na Polisi baada ya kukutwa na watoto wawili waliowateka na kutaka kupewa mamilioni ya fedha ili waweze kuwaachia watoto hao. Akizungumzia tukio hio Kamanda wa Polisi…
Serikali inatoa kipaumbele kufikisha umeme taasisi zinazotoa huduma kwa jamii – Kapinga
📌 Hadi Januari 2025 taasisi za elimu zilizopatiwa umeme kupitia REA ni 18,597. 📌 Asema Serikali inatoa ruzuku kwa watumiaji wa mwisho wa gesi ya LPG Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali…
Trump : Kuna matumaini ya kumaliza vita Ukraine
Rais wa Marekani Donald Trump amesema anaamini kwamba Washington, inapiga hatua katika mazungumzo yake ya kumaliza vita kati ya Urusi na Ukraine. Rais wa Marekani Donald Trump amesema anaamini kwamba Washington, inapiga hatua katika mazungumzo yake ya kumaliza vita kati…
Askari wa Kongo waliokimbia mapigano kushitakiwa
Wanajeshi wapatao 75 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo watapandishwa kizimbani leo, kwa kukimbia mapigano baada ya waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda kusonga mbele katika jimbo la mashariki la Kivu Kusini. Taarifa iliyotolewa Jumapili na ofisi ya mwendesha…
Mchengerwa atoa wito kwa waandishi wa habari kupambania tuzo za kitaaluma
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bahi WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Muhammed Mchengerwa ametoa wito kwa waandishi wa habari nchini kujitokeza kupambania tuzo mbalimbali zinazotolewa, kwani ni fursa inayowatambulisha ufanisi kwenye umma na inaimarisha utendaji wa kazi zao. Alitoa…
Tamasha la NMB Kijiji Day lapata matokeo chanya Njombe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Wakazi wa Kijiji cha Image kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, wametakiwa kuacha tabia ya kutunza fedha nyumbani badala yake watumie huduma za kibenki ili kuepuka uharibifu wa fedha na vitendo vya wizi na uporaji…