Latest Posts
Waziri Chana afungua onesho la Wiki ya Ubunifu la Italia jijini Dar
• Aipongeza Italia kwa mashirikiano katika sekta ya utalii Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amefungua rasmi Onesho la Wiki ya Wabunifu wa Italia linaloonesha picha za wabunifu mbalimbali…
Zitto azungumzia kesi zinazopinga uchaguzi mitaa
KIONGOZI mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amehudhuria muendelezo wa kesi zinazopinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, zilizofunguliwa na chama hicho katika maeneo mbalimbali nchini. Akizungumza na waandishi wa habari katika Mahakama ya…
Wasira :CCM itashika dola kwa kura si bunduki
*Asema wamejipanga kuendelea kuwatumikia wananchi*Awashangaa wanaohoji CCM kukaa madarakani muda mrefu Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu Chama kitaendelea kushika dola kutokana na wingi wa kura…
Kwa heri baba wa Taifa la Namibia
Na Isri Mohamed Ni huzuni, simanzi na majonzi vimetawala katika taifa la Namibia na Afrika nzima kwa ujumla kufuatia kifo cha Baba wa taifa hilo, Samuel Shafiishuna Daniel Nujoma, kilichotokea Februari 08, 2025. Shujaa huyu wa Afrikia ambaye watoto wa…