JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

EWURA yakabidhi msaada vya vifaa vya umwagiliaji kwa kikundi Songea

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na maji (EWURA), imekabidhi vifaa vya umwagiliaji maji ikiwemo tenki lenye ujazo wa lita 5000,mabomba, mipira pamoja na vifaa vitakavyotumika kufunga vifaa hivyo vyote vikiwa na thamani ya…

TANESCO, EWURA imeweka mwongozo wa gharama za kuunganisha umeme – Kapinga

📌 Asema Serikali imeweka ruzuku kwenye miradi ya umeme Vijijini Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema,Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeweka…

Wanajeshi 84 DRC wapandishwa kizimbani kwa tuhuma za mauaji

Kesi ya wanajeshi 84 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanaotuhumiwa kwa mauaji, ubakaji na uhalifu mwingine dhidi ya raia katika eneo lililokumbwa na vita mashariki mwa nchi hiyo imeanza kusikilizwa jana. Wanajeshi hao wanatuhumiwa kwa kuvunja nyumba za raia…

Netanyahu afika kizimbani kujibu mashtaka ya rushwa

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo amefika mbele ya mahakama mjini Tel Aviv kujibu mashtaka ya muda mrefu ya rushwa. Netanyahu aliwasili na timu yake ya mawakili inayoongozwa na Amit Hadad baada ya kuamriwa kutoa ushahidi katika mashtaka ya…

Maambukizi ya Ukimwi kuongezeka mara sita 2029

Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kukabiliana na Ugonjwa wa Ukimwi, Winnie Byanyima, amesema kuwa idadi ya maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi huenda ikaongezeka mara sita zaidi ifikapo mwaka 2029, endapo Marekani haitaendelea na mpango wa kusiadia…