JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mapambano dhidi ya biashara haramu ya maliasili yazidi kuimarishwa

Wizara ya Maliasili na Utalii inaendelea na jitihada za kuongeza na kuwajengea uwezo watumishi wake wakiwemo wachunguzi na waendesha mashitaka ili kuongeza ufanisi katika usimamizi na kuendeleza maliasili nchini kwa faida ya kizazi cha sasa na kinachokuja. Hayo yamesemwa Jijini…

Sangu: Baadhi ya mamlaka za nidhamu hazizingatii sheria

Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ,Deus Sangu amesema baadhi ya mamlaka za nidhamu hazizingatii sheria ,kanuni na taratibu za utumishi wa umma katika ushughulikiaji mashauri ya kinidhamu na…

Serikali yaagiza vifaa vya kujifungulia vipatikane vituo vya afya

Naibu Waziri Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dk. Festo Dugange, ameagiza ofisi za halmashauri kuhakikisha vifaa vya kujifungulia vinapatikana katika vituo vya afya. Akijibu swali bungeni mjini Dodoma, Dk. Dugange alisema kwamba sera ya afya inatoa muongozo wa huduma kwa wakinamama…

Sillo : Msipande bodaboda mishikaki

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo, amewaagiza wadau wa usalama barabarani kudhibiti ajali za barabarani ambazo zinachangia kupoteza nguvu kazi ya taifa. Akijibu swali bungeni mjini Dodoma kuhusu usafiri wa bodaboda, Naibu Waziri Sillo alisema inasikitisha…

Afrika Kusini yapeleka wanajeshi 800 Lubumbashi

Afrika Kusini imepeleka wanajeshi zaidi na zana za kivita nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ikiwa ni wiki chache tu baada ya askari wake 14 kuuawa kwenye mapigano na waasi wa M23 mashariki mwa nchi hiyo. Vyanzo kadhaa vya kisiasa…

‘Watumishi wanaoshinda rufaa warudishwe kazini’

Ofisi ya Rais ,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imewaagiza waajiri wa taasisi za umma kuwarudisha kazini watumishi wanaoshinda mashauri ya rufaa za kinidhamu kadiri ya maelekezo yaliyotoka kwenye Tume ya Utumishi wa Umma. Naibu Waziri wa Ofisi…