Latest Posts
TMA : Kuna ongezeko la joto kwa baadhi ya maeneo nchini
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kumekuwepo na ongezeko la joto katika baadhi ya maeneo nchini hususan yapatayo misimu miwili ya mvua kwa mwaka kwa miezi ya hivi karibuni. Hali hii imesababishwa na kusogea kwa jua la utosi…
Vilio watia nia CCM
*Ni wanaotaka kugombea udiwani na ubunge katika maeneo mbalimbali *Utitiri wa idadi ya wajumbe wapya wanaopiga kura za maoni yawatisha *Watalazimika kuweka mawakala matawini watakaosimamia kura zao *Mfumo mpya wa mchujo wa majina ya wagombea wageukamwiba kwao Na Mwandishi Wetu,…
Netanyahu atishia kurejesha mapigano
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ametishia kujitoa kwenye makubaliano ya kusitisha mapigano katika ukanda wa Gaza, akisema majeshi ya Israel yataanza tena mashambulizi dhidi ya Hamas ikiwa hawatarudisha mateka wa Israel kabla ya Jumamosi. Netanyahu alieleza kuwa, ikiwa Hamas…
Serikali yaombwa kuwapeleka wataalam UDOM kupata mafunzo ya ubobezi ya TEHAMA
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Serikali imeombwa kuwapeleka wataalamu katika chuo kikuu cha Dodoma ili waweze kupata mafunzo ya ubobezi katika fani ya TEHAMA ili kuweza kuboresha utendaji kazi wao na kuleta tija kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Hayo…
Waliosababisha ajali iliyopelekea kifo cha mwanamke mmoja mbaroni
Na Mwandishi Wetu -Jeshi la Polisi, Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni John Peter (45) dereva na mkazi wa Manyire Wilayani Arumeru Mkoani Arusha na Jafari Shirima (62) dereva na Mkazi wa Singida…
Chalamila akagua miradi ya maendeleo Temeke
Na Pendo Nguka, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Temeke kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza changamoto za wananchi. Ziara hii imelenga kuhamasisha maendeleo ya kiuchumi…