JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Samia kuhudhuria mjadala Marekani

Rais Dk Samia Suluhu Hassan anatarajia kuondoka nchini leo Oktoba 29 kuelekea Des Moines, lowa, nchini Marekani kuhudhuria Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug ulioandaliwa na Taasisi ya Worl Prize Foundation ya nchi hiyo. Mjadala huo hufanyika kila mwaka na…

Mradi wa bilioni 60/-kuleta mapinduzi ya huduma za usafiri Ziwa Victoria

Na Mwandishi Wetu, Mwanza Serikali ya Tanzania imewekeza Sh60 bilioni kuboresha bandari tatu kuu za Ziwa Victoria. Meneja wa Bandari za Ziwa Victoria, Erasto Lugenge aliwaambia wandishi wa habari waliotembelea bandari za Bukoba na Kemondo kuwa uwekezaji huu mkubwa katika…

Serikali kuthamini taaluma ya wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi

Na Magrethy Katengu,JamhuriMediaDar es Salaam Serikali imesema itaendelea kuthamini taaluma ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji majenzi kwa kuwapatia tenda za miradi zinazojitokeza ili wasivunjike moyo waendelee kuwa wazalendo na nchi yao. Hayo yamesemwa na Oktoba 29,2024 Jijini Dar es Salaam…

Bibi harusi aanguka na kufa ghafla ukumbini

Na Isri Mohamed Imezoeleka siku ya harusi ni siku ya furaha, shangwe, nderemo na vifijo hasa kwa maharusi wenyewe, lakini imekuwa tofauti kwa Mr Emile ambaye ameshuhudia mke wake akifariki mbele yake na wageni wakiwa ukumbini kwenye sherehe yao, ikiwa…

Hezbollah yamtangaza Naim Qassem kuwa kiongozi wake mpya

Hezbollah imetangaza kuwa naibu katibu mkuu wa kundi hilo atakuwa mkuu wake mpya. Naim Qassem anachukua nafasi ya kiongozi wa muda mrefu Hassan Nasrallah, ambaye aliuawa katika shambulio la anga la Israel huko Beirut mwezi uliopita. Ni mmoja wa viongozi…