Latest Posts
Nafasi ya uenyekiti Tume ya Umoja wa Afrika yabaki kitendawili
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salam Joto la kinyang’anyiro katika nafasi ya Mwenyekiti wa tume ya umoja wa mataifa linazidi kupanda kwa wagombea wa nafasi hiyo. Nafasi hiyo ya uenyekiti imekuwa ikishikiliwa na Moussa Faki raia wa Chad tangu…
Wakuu wa wilaya, wakurugenzi Arusha watakiwa kusimamia kikamilifu suala la lishe
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha MKUU wa wilaya ya Karatu Dadi Kolimba amewataka Wakuu wa wilaya na Wakurugenzi kusimamia kikamilifu suala la lishe katika maeneo yao ili kuwa na Taifa lenye watu wenye afya bora pamoja na utimamu wa akili….
Kapinga ashiriki kikao cha mawaziri wa kisekta Arusha
📌 Tanzania, Rwanda, Uganga kusaini MOU kuendeleza mradi wa kufua umeme wa pamoja wa Nsongezi 📌 Baraza kusimamia Kongamano na Maonesho ya 11 ya Petroli ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 5 hadi 7 2025 Jijini, Dar es Salaam. Naibu…
Serikali Mtandao yatakiwa kuendelea kufanya utafiti
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Mamlaka ya serikali mtandao imetakiwa kuendelea kufanya tafiti ili kuleta bunifu za Mifumo ya TEHAMA ambayo sio tu itaboresha utendaji kazi bali pia itasaidia kuondoa kero za upatikanaji wa huduma mbalimbali za Serikali kwa wananchi….
Serikali yajidhatiti kuboresha sekta ya kilimo – Dk Biteko
📌 Anadi soko la mazao jamii ya mikunde India 📌 Mnada mazao ya kunde mtandaoni waboresha biashara ya kimataifa 📌 Biashara kati ya Tanzania na India kufikia dola bilioni 7.9 Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati…