JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

TPA yatwaa tuzo ya ‘ e-GA’ kwa matumizi bora ya Tehama

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMesia, Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeibuka mshindi wa tatu katika kundi la taasisi za Umma zinazozingatia na kufuata miongozo na kanuni za Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-Ga) katika uendeshaji na usimamizi…

Watu 18 wauawa katika kituo treni India

Takriban watu 18 wamekufa na wengine 10 kujeruhiwa katika ajali iliyotokea kwenye kituo cha reli cha New Delhi. Maelfu ya watu waliripotiwa kujaa kwenye kituo cha treni Jumamosi usiku walipokuwa wakijaribu kupanda treni zilizochelewa. Wanne kati ya waathiriwa walikuwa watoto,…

Papa alazwa, hali yake yaimarika

Papa Francisko, mwenye umri wa miaka 88, amelazwa katika Hospitali ya Gemelli mjini Roma kutokana na maambukizi ya njia ya hewa yanayosababishwa na bronkiti. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Vatican, hali yake inaendelea kuimarika baada ya kupatiwa matibabu stahiki. Kwa…

Deloitte yaongeza nguvu Tuzo za TEHAMA 2025

WIZARA ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, kwa kushirikiana na SoftVentures, Tume ya TEHAMA (ICTC) na Chama cha Watoa Huduma za Intaneti Tanzania (TISPA), inatangaza kuingia ushirikiano wa kimkakati na Deloitte kwa ajili ya Tuzo za TEHAMA 2025, pamoja na…

Chongolo apongeza PPP kwa kuibua miradi nchini

MKUU wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta za Umma na Sekta Binafsi (PPP) Davidi Kafulila, kwa kuendeleza zoezi la kuibua miradi katika maeneo mbalimbali nchini. Chongolo ametoa pongezi hizo ofisini…