Latest Posts
Maelfu wanaendelea kumuaga Papa Francis leo
Maelfu ya watu wameendelea kujitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican. Maelfu ya watu wameendelea kujitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa kiongozi…
Trump atoa wito kwa Urusi kusitisha mashambulizi Ukraine
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa wito kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi kusitisha mashambulizi dhidi ya Ukraine, saa chache baada ya Urusi kuishambulia Ukraine kwa makombora na droni. Rais wa Marekani Donald Trump ametoa wito kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi…
Serikali yakamilisha upembuzi yakinifu mradi wa maji ziwa Victoria
WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amesema serikali imekamilisha upembuzi yakinifu wa awali kwa ajili ya upanuzi wa Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria wa Tinde-Shelui kwenda zaidi ya vijiji 30 vya wilaya za Shinyanga na Iramba. Alisema utekelezaji wa mradi…
Serikali yatenga bil.5.5/- ujenzi nyumba 54 za walimu
KATIKA bajeti ya mwaka 2025/2026, serikali imetenga Sh bilioni 5.5 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 54 za walimu nchi nzima. Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi, Zainab Katimba alisema nyumba hizo ni mbili kwa moja na zitajengwa katika maeneo…
Zuio la uingizaji holela matunda nchini waleta manufaa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma HATUA zilizochukuliwa na serikali za kulinda soko na kudhibiti uingizai holela wa matunda nchini, umeongeza uzalishaji wake kutoka tani 6,530,302 mwaka 2022/2023 hadi tani 7,065,139 kwa mwaka 2024/2025. Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Kilimo,…
QATAR kushirikiana na NEMC kupambana na gugu vamizi ziwa Victoria
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kupitia Ubalozi wa Tanzania nchini Qatar wamefanya mazungumzo yenye lengo la kuanzisha ushirikiano katika masuala mbalimbali ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi pamoja…