JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Viwanda vinne vya uongezaji thamani madini kujengwa Dodoma – Waziri Mavunde

▪️Akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua Madini ya Shaba* ▪️Dodoma inaongoza kwa uwepo wa aina nyingi za madini nchini* ▪️Atoa rai kwa Mikoa kutenga meneo maalum ya viwanda vya kuongeza thamani 📍 Dodoma Waziri wa Madini Anthony Mavunde…

Msigwa aipongeza Wizara ya Nishati usimamizi madi wa JNHPP

📌 Asema mradi umefikia asilimia 99.8 📌 Awaasa watanzania kujivunia mradi wa Julius Nyerere Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameipongeza Wizara ya Nishati kwa usimamizi wa mradi wa kimkakati…

Dk Biteko awahimiza Watanzania kuliombea taifa

📌 Asema amani ya nchi ilindwe kwa wivu mkubwa 📌Asisitiza uchaguzi Mkuu wa Oktoba usiligawe Taifa 📌Asema Watanzania waendelee kumuombea Rais Samia kwa kazi nzuri anazofanya 📌 Serikali kuboresha mipango yake kulingana na mahitaji ya dunia Na Ofisi ya Naibu…

Watoto chini miaka miwili wakeketwa longido,wataka adhabu kali

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Longido Serikali imeombwa kufanya maboresho ya sheria ya Ukatili wa Kijinsia ili kutoa adhabu kali kwa wanaokeketa watoto baada ya kubainika kuibuka mbinu mpya ya kukeketa watoto wa kike wakiwa chini ya miaka miwili wilayani Longido,mkoa…

Rais Dk Mwinyi apokewa kwa kishindo Pemba

*Wanachama 2,439 wa ACT wajiunga na CCM Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Hussein Ali Mwinyi amezisisitiza Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi kuwahamasisha Wanachama na Wananchi kujiandikisha na kujitokeza kwa Wingi kupiga Kura ili CCM ishinde kwa Kishindo. Dkt. Mwinyi ambae…