Latest Posts
Waziri Mavunde apiga marufuku wageni kuingia kwenye leseni za uchimbaji mdogo
▪️Awataka wenye leseni kufuata taratibu za kisheria za msaada wa kiufund ▪️Serikali kutunga kanuni za kuratibu wageni kwenye Leseni ndogo ▪️Awataka RMO kufanya ukaguzi katika maeneo yao ▪️Awaonya wachimbaji wanaoingiza wageni kinyemela 📍Morogoro Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amepiga…
Kamati ya kuchunguza wafanyabiashara wageni Kariakoo yafikia pazuri
…Yaaendelea kuwahoji wafanyabiashara Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMATI iliyoundwa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo kuchunguza wafanyabiashara wa kigeni maeneo ya Kariakoo imefikia asilimia 50 ya uchunguzi wake na imeahidi kukabidhi ripoti hiyo Machi…
Papa ashindwa kuongoza misa
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, jana Jumapili ameshindwa kuongoza misa kama ilivyo kawaida yake kutokana na matatizo ya kiafya yanayomsumbua. Vatican ilithibitisha kupitia taarifa rasmi kwamba Papa Francis hatokuwa na uwezo wa kuongoza misa hiyo kutokana na changamoto…
Imamu aliyejitangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja auawa
Muhsin Hendricks, mtu mashuhuri aliyejulikana kama imamu wa kwanza duniani aliyejitangaza hadharani kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja, ameuwa kwa risasi nchini Afrika Kusini. Kiongozi huyo wa kidini mwenye umri wa miaka 57 alikuwa anaongoza msikiti mmoja katika jijini la…
Wizara yatakiwa kubuni mazao mapya ya utalii kwenye eneo la Amboni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kubuni mazao mapya ya Utalii ili kuwavutia watalii huku ikisisitiza kwamba inatamani watalii wanaotoka Zanzibar kwenda kutalii katika eneo…