Latest Posts
Biteko aipongeza EWURA kuleta utulivu kwenye nishati
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko, ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), kwa usimamizi thabiti wa huduma za nishati na maji nchini ambao ameeleza kuwa…
‘Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imeamua kuwafikia wananchi walipo’
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Saidi Mtanda amezindua Kamati ya Ushauri wa Kisheria ya Mkoa wa Mwanza tarehe 17 Februari 2025 na kufuatiwa na Kliniki ya Sheria bila malipo kwa wananchi wa Mkoa wa Mwanza inayoanza Februari 17 hadi 23,…
Chana ateta na sekretariet ya Mkataba wa Lusaka wa kukabiliana na ujangili
Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Sekretarieti ya Mkataba wa Kikanda wa Lusaka (Lusaka Agreement Taskforce-LATF) wa kukabiliana na ujangili na biashara…
Tanzania na UNODC kuendelea kuimarisha ushirikiano katika kukabiliana na uhalifu wa mazingira
Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya na Uhalifu, Ofisi ya Kanda ya Afrika Mashariki (UNODC ROEA), imejipanga kuendelea kuimarisha ushirikiano katika…
Mkesha Maalum wa kuliombea Taifa kufanyika Februari 28, mwaka huu
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIKA kuelekea uchaguzi Mkuu mwaka huu, waumini wa Madhehebu mbalimbali nchini wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika Mkesha Maalum wa kuombea taifa na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu…