Latest Posts
Dk Biteko ateta na viongozi wa CCM Bukombe
📌 Asema uimara wa CCM unatokana na misingi imara iliyowekwa na Waasisi 📌 Amshukuru Rais Dkt. Samia kwa fedha za miradi Bukombe 📌 Asisitiza umuhimu wa maandalizi ya uchaguzi Serikali za Mitaa 📌 Ataka kila balozi kusimamia vema shina lake…
Ruhsa vyama vya siasa kuweka mawakala uboreshaji wa daftari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Vyama vya siasa vitaruhusiwa kuweka wakala mmoja kwenye kila kituo cha kuandikisha wapiga kura kwenye uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kuzinduliwa mkoani Kigoma, tarehe 01 Julai, 2024. Hayo yamesemwa…
Waziri Jafo : Asilimia 79.3 ya miti iliyopandwa imestawi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Nkasi Kaskazini Aida Khenan aliyeuliza kuhusu utoaji wa taarifa ya mazoezi ya upandaji wa miti, Dkt. Jafo amesema Ilani ya Uchaguzi imeelekeza kila halmashauri nchini kupanda miti milioni…
Mwenyekiti Serikali za Mtaa Kivule aishauri Serikali kuweka mikakati ya ujenzi wa miundombinu Dar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Serikali ya Mtaa Kivule, Amos Habgaya ameshauri Serikali uweke mkakati maalum kwa ajili ya kujenga miundombinu ya Jiji la Dar es Salaam kwani bila kufanya hivyo changamoto za barabara kumalizika itakuwa…
Mwenge wa uhuru kuzindua miradi 10 ya maendelao yenye thamani bil. 2.5/- Namtumbo
Na Cresensia Kapinga, JakhuriMedia, Namtumbo. Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Ngolo Malenya amesema kuwa Mwenge wa Uhuru unaokimbizwa katika Wilaya hiyo utakagua,utaweka mawe ya msingi na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo 10 yenye thamani ya sh. Bilioni 2.5 Akizungumza wakati…
Teknolojia ya vizimba vya mamba yarejesha hali ya maisha ya kawaida Sengerema
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Sengerema Hali ya usalama wa maisha ya kila siku kwa wananchi waishio pembezoni mwa ziwa Viktoria wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza yarejea baada ya Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kujenga vizimba vya kudhibiti mamba….