Latest Posts
UVCCM waiomba Serikali kuufungia mtandao wa Twitter
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jumuiya ya Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umeiomba Serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuufungia mtandao wa Twitter (X) kutokana na maudhui yake kutokuendana na mila na…
Breaking News: Makamu wa Rais wa Malawi afariki Dunia
Na Isri Mohamed Mwili wa Makamu wa Rais wa Malawi, Saulos Chilima na watu wengine tisa imepatikana baada ya vikosi vilivyokuwa vikiitafuta ndege iliyowabeba kufanikiwa kupata ndege hiyo huku wakiwa wamefariki. Baada ya kuthibitishwa kwa taarifa hiyo, Rais wa Malawi,…
UNICEF: Karibu watoto milioni 400 wananyanyasika majumbani
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), limesema makadirio ya watoto milioni 400 walio chini ya umri wa miaka mitano wanakabiliwa na manyanyaso majumbani. Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), limesema makadirio ya watoto milioni…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa launga mpango wa Marekani kusitisha vita kati ya Israel, Gaza
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepiga kura kuunga mkono mpango unaopendekezwa na Marekani wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Gaza. Pendekezo hilo limeweka masharti ya “kusitisha mapigano kamili “, kuachiliwa kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas, kurejeshwa kwa…