Latest Posts
Dk Biteko ateta na Jumuiya ya wasambazaji wa mitungi ya gesi nchini
📌Awashukuru kwa mchango wao utekelezaji Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia 📌 Ataka LPG ipatikane kwa wingi hadi ngazi ya Vijiji 📌 Ahimiza Tanzania kuwa kitovu cha usambazaji LPG Afrika Mashariki 📌 Tanzania yaendelea kupigiwa mfano Kimataifa matumizi ya Nishati…
Mhandisi Bwire: Tunairudisha DAWASA kwa wananchi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAIMU Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire amesema wanakusudia kurejesha Mamlaka hiyo kwa wananchi ili kutoa fursa na na nafasi ya kufikisha…
Tanzania yajikita kuvutia wawekezaji katika mkutano wa biashara na wawekezaji Ufaransa
Mkutano wa Biashara na Uwekezaji (Business and Investment Forum) uliofanyika kwa siku mbili katika Mji wa Marseille, nchini Ufaransa, kuanzia Februari 11 hadi 12 mwaka huu, umefungua fursa mpya kwa Tanzania katika kuvutia wawekezaji wa kimataifa. Ujumbe kutoka Tanzania, uliongozwa…
Waziri Mkuu Majaliwa mgeni rasmi Samia Marathon Mlandizi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mbio za Samia Marathon zitakazofanyika Februari 22, 2025, katika viwanja vya Shule ya Mtongani, Mlandizi, Kibaha Vijijini, mkoani Pwani. Mbio hizi zinalenga kuhamasisha wananchi kuhusu umuhimu…
Marekani yasusia mkutano wa G20 nchini Afrika Kusini
Mkutano wa mawaziri wa masuala ya kigeni wa nchi tajiri duniani (G20) umeanza leo huko Afrika kusini. Hata hivyo, Marekani kupitia Waziri wake wa masuala ya kigeni wa Marekani Marco Rubio haitohudhuria mkutano huo. Marco Rubio alitangaza kutohudhuria kupitia kwenye…