JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ufafanuzi kuhusu gawio la bilioni 153.9 lililotolewa na TPA kwa Serikali

Katika mitandao ya kijamii na makundi sogozi, zinasambaa taarifa potofu kuhusu uhalisia wa Gawio la Shilingi Bilioni 153.9 lililotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa Serikali kwa mujibu wa Sheria kwa mwaka 2024. Kufuatia taarifa hizo potofu,…

Wadau waitaka Serikali kurejesha mchakato wa Katiba Mpya

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sera za Kijamii Zanzibar, ambaye pia alikuwa Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mohammad Yussuf Mshamba amesema ni wakati muafaka wa serikali kurejesha mchakato wa Katiba Mpya. Ameyasema…

Kailima : Daftari la wapiga kura halihusiki na uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, amesema uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura hauhusiani na maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika…

Kadi ya NIDA si kigezo cha kuandikishwa kuwa mpiga kura

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema watu wote wenye sifa za kuandikishwa kuwa wapiga kura wataandikishwa hata kama hawana kitambulisho cha Taifa kinachotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Hayo…

DAWASA yaja na suluhisho la kudumu kwa wakazi wa Sinza C na D

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakazi wa Kata ya Sinza, Wilaya ya Kinondoni wametolewa hofu ya upatikanaji wa huduma ya maji kwenye maeneo yao kufuatia jitihada kubwa zinazotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es…

Mradi wa Julius Nyerere wakamilisha mtambo namba nane na kuingiza umeme kwenye Gridi ya taifa

Na Mwandisho Wetu, JamhuriMedia, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema tayari mtambo namba nane kutoka kwenye Mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere umekamilika na sasa unaingiza megawati 235 kwenye gridi ya taifa. Dkt…