JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Washindi Tuzo za kihistoriaTEHAMA 2025 hadharani leo

*Tume ya TEHAMA yafikiria Tuzo kwa wanahabari Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WASHINDI wa kwanza wa Tuzo za TEHAMA 2025, wanatarajiwa kutangazwa rasmi leo katika hafla ya Tuzo hizo zinazotarajiwa kufanyika katika Hoteli ya Nyota Tano ya Gran…

RC Ruvuma: Kuna ongezeko la watoto wa mitaani

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahamed Abbas Ahamed amesema kuwa mkoa huo unakabiliwa na changamoto ya watoto wanaoishi na kufanyakazi za mitaani hususani katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea jambo ambalo linapelekea kuwa katika…

Mvutano Kenya, Sudan kuendelea kutokota, baada ya wanamgambo RSF kutangaza kuwepo Nairobi

Mvutano kati ya Kenya na Sudan unaendelea kuwa mgumu, hasa baada ya wanamgambo wa RSF (Rapid Support Forces) kudai kuwa wanahudhuria mjini Nairobi. Katika hali hii, serikali ya kijeshi ya Sudan imechukua hatua ya kumtangaza balozi wake kutoka Nairobi, kutokana…

FCS, Stanbic wakubaliana kuwainua kiuchumi wajasiriamali wanawake, vijana

Na Mwandishi Wetu, JakmhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA la The Foundation For Civil Society (FCS) limeingia makubaliano ya miaka miwili na Benki ya Stanbic Tanzania kupitia kupitia kitengo cha Stanbic biashara incubator unaolenga kuwainua wajasiriamali wanawake na vijana kwa kuwajengea…

Mbunge Mavunde akabidhi mradi wa shamba kwa wanawake wafanyabiashara wadogo Dodoma

▪️Mradi wa shamba la zabibu walenga kuwainua wafanyabiashara ▪️Wakinamama wampongeza kwa kuwainua kiuchumi ▪️Awatafutia soko la uhakika wa mazao yao ▪️Rais Samia apongezwa kwa miundombinu rafiki ya biashara kwenye masoko 📍Mpunguzi,Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde…

NIRC yasaini mkataba wa Bilioni 17 ukarabati Skimu za Umwagiliaji bonde la Mto wa Mbu Arusha

📌NIRC, Monduli SERIKALI ya Awamu ya Sita ,kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini Mkataba Wa kukarabati skimu zilizopo katika bonde la Mto wa Mbu Wilayani Monduli, kwa gharama ya shilingi bilioni 17 Mradi huo unajumuisha ukarabati wa mifereji…