Latest Posts
Wahariri waguswa mradi wa bomba la mafuta
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar e Salaam WAHARIRI wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchini wameshangazwa na kuvutiwa na faida lukuki ambazo jamii na wananchi wa mikoa minane ambao wamepitiwa na mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP)…
RUWASA Simanjiro kufikisha huduma ya maji hadi kwenye Makao Makuu ya Vijiji – Mhandisi Mushi
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Simanjiro Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini ( RUWASA) Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara Ina mpango mkubwa ni kuhakikisha inafikisha huduma ya Maji kwenye Makao Makuu ya Vijiji vyote Wilayani humo. Hayo yamebainishwa hivi karibuni…
Mtoto mlemavu wa ngozi auawa kikatili, akatwa ulimi na mikono
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Mwili wa mtoto Asimwe Novath (2) aliyetekwa kwa Zaidi ya wiki mbili umepatikana Juni 17, ukiwa umefungwa kwenye mfuko (sandarusi) huku ukiwa hauna baadhi ya viungo kama ulimi na mikono yote miwili. Tukio la kutekwa kwa…
Mbunge apongeza Kampuni ya Mwiba kutoa chakula cha bure wanafunzi 850 Meatu
Na Mussa Juma ,JamhuriMedia,Dodoma Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Simiyu, Minza Mgika ameipongeza Kampuni ya Utalii ya Mwiba Holding Ltd ambayo imewekeza wilayani Meatu mkoa wa Simiyu ,kwa kuendelea kutoa chakula cha bure kwa wanafunzi 850 wa shule ya…
Waombolezaji wafariki katika msafara wa mazishi wa Makamu wa Rais wa Malawi
Watu wanne, akiwemo mwanamke mjamzito, wamepoteza maisha baada ya gari lililokuwa kwenye msafara uliokuwa umebeba mwili wa marehemu Makamu wa Rais wa Malawi Saulos Chilima kuwagonga waombolezaji, polisi walisema. Watu wengine kumi na wawili walijeruhiwa katika tukio hilo la Jumapili…