Latest Posts
Timu ya taifa ya kuogelea safarini Kenya
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waogeleaji wanne wa timu ya taifa ya kuogelea wanatarajiwa kuondoka Juni 21 mwaka huu kwenda Nairobi, Kenya kushiriki mashindano yatakayofanza Juni 22 na 23, mwaka huu nchini humo. Akizungumza na waogeleaji hao wakati akiwakabidhi…
Mangungu ateua mjumbe wa bodi ya wakurugenzi
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Ally Mangungu amemteua, Dr. Kailima Ramadhani Kombwey kuwa mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Sports Club Company Limited. Taarifa ya Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo imebainisha kuwa Dkt. Kailima ataungana…
Maandalizi Maonesho ya Sabasaba yafikia asilimia 79
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) imesema maandalizi ya maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (DITF) maarufu kama ‘Sabasaba’ yamekamilika kwa asilimia 79. Aidha imesema kuwa maonesho ya mwaka huu yatakuwa…
Waziri Ummy azindua Kampuni tanzu ya Bohari ya Dawa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amezindua Kampuni Tanzu ya Bohari ya Dawa inayoitwa MSD MEDIPHAM MANUFACTURING CO. Ltd., itakayosimamia viwanda vya kuzalisha bidhaa za afya, pamoja na kuzindua Bodi ya Usimamizi wa…
Rais wa Jamuhuri ya Guinea Bisau kufanya ziara kwa siku tatu nchini
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Guinea Bissau ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Muungano wa Viongozi wa Afrika katika Kudhibiti Malaria (ALMA), Mheshimiwa Umaro Sissoco Embaló anatarajia kufanya ziara ya siku tatu nchini kuanzia…