Latest Posts
Nape awaomba wadau wa habari wamuamini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewaomba wadau wa sekta ya habari kuwa na imani naye kuhusu vifungu 12 vinavyolalamikiwa katika Sheria ya Huduma ya Habari ya mwaka 2016….
Wenye uoni hafifu waonyeshana kazi UMISSETA
Kiwanja cha mpira wa goli kimeendelea kuwaka moto wakati timu za mchezo huo zikipimana nguvu katika michezo ya Umoja wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) inayofanyika Tabora. Katika mchezo uliofanyika leo katika Chuo cha Uhazili Tabora, timu ya wavulana ya…
‘Ushiriki wa pamoja utapunguza biashara haramu ya viumbe pori’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Imeelezwa kuwa uwepo wa biashara haramu ya viumbe pori una athari mbalimbali katika maeneo ya kiuchumi, kijamii na kimazingira. Hayo yamebainishwa Mkuu wa Kitengo cha Sera na Usimamizi mradi wa USAID Tuhifadhi Maliasili,…
RC Chalamila : Siwaogopi waganga wa kienyeji, nitawasafisha Dar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk Albert Chalamila amesema hivi karibu wataanza oparesheni maalum inayolenga waganga wa kienyeji wanaofanya ramli chonganishi. Amesema hayo leo Dar es Salaam wakati wa kilele cha…
Wadau SHYCOM kuunga juhudi za Serikali katika kuinua elimu kupitia michezo
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali za kuinua kiwango cha Elimu nchini,Umoja wa wanafunzi waliosoma Chuo cha Ualimu Shinyanga (SHYCOM) umezindua Mbio za Shycom Alumni Marathon zitakazo jumuisha kilometa 5, 10 na 21 ambazo zitaenda kufanyika…
Adhabu mbadala kupunguza msongamano gerezanI
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Manyara Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema Serikali imefanikiwa kupunguza msongamano katika Magereza mbalimbali nchini mara baada ya kuanza kutekeleza adhabu mbadala kwa wafungwa wanaotumikia adhabu za nje ya Magereza ambapo takriban wafungwa 2000…